Firefox
Firefox
Last updated:
Makala hii inatumika tu kwa Windows 10.
- Bonyeza kitufe cha menyu The image "new fx menu" does not exist., kisha chagua .
- Katika paneli ya Kwa ujumla, bonyenza
- Dirisha la kuweka Mipango ya msingi itafungua.
- Chagua
- Funga kurasa la kuhusu: mapendeleo '.Mabadiliko yoyote umefanya moja kwa moja itaokolewa.
- Bonyeza kifungo cha menu The image "new fx menu" does not exist., kisha chagua .
- Katika paneli ya kwa ujumla, bonyeza kifungo
- Programu ya Dirisha la Mazingira itafunguka na skrini ya Chagua programu msingi
- Nenda chini na bonyeza kingilio chini ya Web browser. Katika kesi hiyo, ikoni itasema Microsoft Edge au Chagua browser yako ya msingi.
- Katika skrini ya Chagua Programu, bonyeza Firefox kuweka kama kivinjari chaguo msingi.
- Firefox sasa imeorodheshwa kama browser yako ya msingi. Funga dirisha ili kuhifadhi mabadiliko yako.