Browse
Explore how to navigate the web efficiently and effectively with Mozilla’s products.
Maswali yanayoulizwa sana
Hapa utajifunza kuhusu vidokezo vay msingi na miongozo kwa ajili ya kutumia Firefox katika lugha yako.
Jinsi ya kuweka ukurasa wa nyumbani
Pakia kurasa yako favorite katika click moja. Tutaweza kuonyesha jinsi ya kuweka ukurasa wako nyumbani au kurejesha ukurasa default.
Ongeza kurasa za mtandao kwa Orodha Ya Masomo yako
Firefox kwa iOS inakuwezesha kuokoa kurasa za mtandao kwa Orodha Ya Masomo yako ili uweze kutazama baadaye katika usafi na hali ya msomaji ya kirafiki.
Ondoa Tovuti za Juu kutoka skrini ya nyumbani Firefox iOS
Jopo la tovuti za juu katika Firefox kwa iOS huonyesha tovuti unazotembelea mara nyingi na kwa hivi karibuni . Jifunze jinsi ya kusimamia skrini hii.
Jinsi ya kulemaza kitazamaji cha PDF kilichojengwa ndani na kutumia kitazamaji nyingine
Firefox has a built-in PDF reader. We'll show you how to disable it and use another PDF viewer, like Adobe Reader, instead.
Upau wa usogezaji katika Firefox kwa iOS
Firefox huficha baa ya urambazaji wakati uko kwenye ukurasa kukupa zaidi screen nafasi. Jifunze jinsi ya kufichua vifungo vya ya nyuma, mbele na kunawirisha.
Ni toleo lipi la Firefox ambayo natumia?
Kujua ni toleo lipi la Firefox unatumia kwenye iPad yako, iPhone au iPod.
Angalia kurasa za mtandao katika mtazamo wa Msomaji
Mtazamo wa Msomaji katika Firefox kwa iOS hutawala mbali mambo bughudha, kama picha na viungo vya urambazaji, kutoka kurasa za mtandao ili uweze kuzingatia maudhui.
Je, Firefox itafanya kazi kwenye kifaa yangu ya simu?
Makala hii inaorodhesha simu vifaa ambayo unaweza kufunga Firefox kwayo